LAVEKO CREATIVE STUDIO

Solutions for Your Brand

Tunatengeneza muonekano utakaofanya biashara yako iheshimike, ivutie wateja, na kuleta matokeo ya haraka.

Poster Expert
Ubunifu wa Picha

Professional
Poster Design

Hatuandai picha tu, tunaandaa **Silaha ya Mauzo**. Kila rangi na kila neno linapangwa kisaikolojia ili kumfanya mteja asimame kwanza kuisoma biashara yako.

  • High-Resolution (4K)
  • Rangi za Kuvutia
  • Ujumbe wa Kiuza
  • Branding ya Uhakika
Management
Social Media

Usimamizi wa Kila Siku (Active Presence)

Usipoteze muda wako kuwaza nini cha kuposti. Timu yetu itahakikisha kurasa zako zipo hai 24/7 kwa maudhui yenye mpangilio yanayojenga imani kwa wateja wako.

  • Posters 20 kwa Mwezi
  • Caption za Kitaalamu
  • Daily Posting Schedule
  • Ripoti za Maendeleo
Strategy
Branding

Brand Strategy & Consulting

Tunakupa ramani ya safari ya biashara yako. Tunasaidia kuchagua rangi, nembo (logo), na mfumo wa mawasiliano utakaokufanya uwe tofauti kabisa na washindani wako.

  • Competitor Research
  • Content Calendar
  • Logo Maintenance
  • Growth Consulting