Tunabadilisha Instagram yako kuwa mashine ya mauzo kupitia posters zenye mvuto wa hali ya juu.
Anza Sasa - 50,000/=
Ubunifu unaozingatia saikolojia ya mteja na soko la sasa.
Tunatengeneza posters zenye muonekano wa 'Premium' zinazovuta macho.
Usimamizi wa kurasa zako za Instagram na Facebook kila siku.
Mipango inayosaidia brand yako kukua na kuheshimika sokoni.
Sisi siyo tu kampuni ya kudesign; sisi ni injini ya ukuaji inayofanya brand yako iheshimike.
Wewe shughulika na wateja, sisi tutashughulika na kila kitu kingine.
Wateja wataheshimu brand yako na kulipa thamani unayostahili.
Ushuhuda wa kazi zinazobadilisha biashara kuwa Brand.
Strategy & Design
Visual Marketing
Creative Direction
Graphic Design
Tunazungumza kuhusu biashara yako, unachagua kifurushi, na kuanza safari ya mabadiliko rasmi.
Timu yetu inaanza kazi ya kutengeneza posters zenye mvuto zinazogusa hisia za wateja wako.
Brand yako inakuwa hai! Tunaposti kila siku huku wewe ukiendelea na majukumu mengine ya kibiashara.
Uwekezaji bora kwa ajili ya kuikuza Brand yako kidijitali.
Kazi inafanyika kwa kuzingatia viwango vya juu vya mkataba na ubora.
Mafanikio ya biashara yako ndio kipimo cha kazi yetu.
"Tangu nianze kufanya kazi na Laveko, sifikirii tena kuhusu kuposti. Mauzo yangu ya nguo yameongezeka kwa 40% ndani ya mwezi mmoja tu."
"Posters zao zina hadhi ya kimataifa. Wateja wangu wa viwanja sasa wananiamini zaidi kwa sababu ya muonekano wa kampuni yangu."
"Ule usumbufu wa kusema 'leo niposti nini' umeisha. Laveko wanajua soko la bongo linataka nini. Inasaidia sana kukuza brand haraka."